SHERIA/RULES Kanuni na sheria za Mjasiriamali Desk

Discussion in 'Sheria za Mjasiriamali Desk' started by Brainiac, Oct 13, 2017.

Share This Page

Watchers:
This thread is being watched by 1 user.
 1. Brainiac
  Offline

  Brainiac Staff Member Administrator Super Moderators Support Members

  Reputations:
  120
  Joined:
  Sep 27, 2017
  Messages:
  73
  Likes Received:
  148
  Liked:
  31
  Trophy Points:
  37
  Gender:
  Male
  Location:
  Arusha
  Credit:
  $1,730,756.20
  1. Hakuna kujitangaza au matangazo bila ridhaa ya awali kutoka kwa Wasimamizi.

  2. Tendea wajumbe wengine kwa hekima, ikiwa unakubaliana nao au kutokubaliana nao
   .

  3. Tabia yoyote ya kukera, kutukana, kuleta mada yenye maudhui mabaya itasababisha kupigwa marufuku ya kutumia mtandao huu.

  4. Kauli ya ADMIN/msimamizi mkuu ni kauli ya mwisho katika maamuzi.

  5. lugha pendekezwa katika mijadala na matumizi ya mtandao huu ni (Kiswahili & Kingereza) tafadhali usitumie lugha nyingine ni kosa katika mtandao huu.

  6. Usiweke mada/jumbe kwa kiasi kikubwa.

  7. Weka mada/jumbe yenye nakala halisi au majadiliano

  8. Kwa ujumla, link ya tovuti yako mwenyewe inaweza kutazamwa kama matangazo au kujitangaza. Unaweza kuweka link ya tovuti yako mwenyewe katika sahihi/signature yako. (Kwa wenye post 100 na kuendelea au Forums Supporter!)
  9. Usitumie Link ya tovuti yako kuomba maoni isipokuwa unahitajika kufanya hivyo na Admins au Moderators.

  10. Usitumie URL/link zilizofupishwa! wanachama wetu wana haki ya kujua wapi wanapokuwa wanakwenda kabla ya kubonyeza link hiyo, Hii ni kuhakikisha haihusiani na malware site(tovuti zisizo salama). hii ni pamoja na saini yako.
  11. Sahih haipaswi kuwa zaidi ya mistari 4

  12. Usiweke Mawasiliano ya simu/email au taarifa zako binafsi katika sehemu ya sihihi yako.

  13. Wafanyakazi na MVP's hupewa nafasi kubwa zaidi kwenye matumizi ya mtandao huu kama asante kwa michango yao kwenye mtandao huu.

  14. Usitume anwani za barua pepe kwenye jukwaa, ama katika chapisho au sahihi yako, isipokuwa utatakiwa kufanya hivyo na wafanyakazi wa Mjasiriamali Desk.

  Other rules:

  No "Make Money Online" Crap

  This is a forum about starting businesses... REAL businesses that solve problems and fill needs. This is NOT a forum about how to sell some worthless "marketing secrets" program that's been repackaged, rehyped, and resold 10,000 times. If you're of the "make money fast" crowd, this forum isn't for you. Mjasiriamali Desk might make money fast, but *fast* is relative to a few years, not a few weeks. The devil is in the process— not in some secret sauce.

  No Signatures Until 100 posts.

  To keep the backlink spammers and self-promoters at bay, users are not allowed to have signatures until 100 posts. If you want to bypsass this requirement, please subscribe to be an SPONSORSHIP OR FORUMS SUPPORTER. Forums supporter can immediately post a signature.


  Self-Promotion is Cool... But Only If We Know You.

  Most forums suck because everyone is selling their shit to everyone else. Soon, the forum becomes nothing but a bunch of "I agree" posts with spammy backlinks to some stupid "How I made $2,200 in one day with Facebook Ads!" PDF. We WANT to hear about what you're doing and how you can help us, but please, make sure you've hung out a bit and got a feel for the forum first. Would you walk into a party of strangers and announce "Hey guys! Check out my widget for sale!"?

  Build Your Mjasiriamali Desk Bank: The Reputation Currency

  Your forum credibility is established by your "M-desk Credits", the reputation currency for the forum. As you participate in the forum, credits are deposited into your account. The more people that like (or thank) your posts, the larger your bank becomes. If people REALLY like your post, they will actually TRANSFER reputation currency to you (see more About Mjasirimali Desk Credits).

  No Solicitation for Partners, Investors and/or Money.

  This forum is not to be used for solicitation of investors, money, startup capital, or any type of funding. This is not a crowdfunding website. While we cannot prevent you from forming and establishing positive relationships, you cannot actively post any type of solicitation here seeking money for any purpose. The best way to seek beneficial relationships is to establish a reputation here at the forum.

  No Integrity? No Ethics? Please Get Lost.

  If you're here to steal someones' idea and their process for executing that idea, please get lost. The contributions made on this forum are made with the implied understanding that you will use the information for your own venture, your own product, and your own idea. If someone takes the time to mentor your progress, take the time to apply those action in an endeavor that doesn't endanger the livelihood of the person who helped you. In other words, don't bite the hand that helped you.

  Sheria hizi zinaweza kubadilishwa wakati wowote bila taarifa.

  Ikiwa hukubaliani na masharti haya, tafadhali usijiunge au kutumia Huduma hii. Ikiwa unataka kufunga akaunti yako, tafadhali wasiliana nasi (info@keenbiztech.co.tz).
   
  success, Eliezer and feith like this.

Share This Page